Ivi kuna mtu amewahi kuangukiwa na zali kama hili la heslb?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Eti wakuu,inawezekana kweli mtu awe hajaomba mkopo wa helsb,afu majina ya waliopata yakitoka na lake linatoka kuwa amepata mkopo while hakuomba?
 
Hicho kitu hakipo ni kama utegemee mtoto wakati mimba hakuna.
 
kuna mtu alidisco ud mwaka jana,akaenda DIT,akalambwa mkopo na wakati hata hakuomba!ndo maana nimeuliza.
 
:flypig::baby::alien::A S 465::A S cry::third::loco::wacko: walioomba wanakosa then wewe nani mpaka upate bila kuomba:yawn::sleepy::A S cry::shetani::hat::A S 465::rant::alien::wacko::evil::third:
 
labda baba yake yupo huko huwez jua mwenye nguvu ndo anakula bana nchi hii mwige huone
 
Kwa miujiza ya ccam inayoendelea, hata mie ngoja nikajiangalie si ajabu nna kitita sijijui
 
Eti wakuu,inawezekana kweli mtu awe hajaomba mkopo wa helsb,afu majina ya waliopata yakitoka na lake linatoka kuwa amepata mkopo while hakuomba?
mkuu usitufanye watoto...hakuna mtu aliye disco akaenda DIT wala nini,ulishaemaga kwamba mkopo hukuomba na japo hukuomba lazima upate!!! au sio wewe??? sasa hilo sio swala kuringia kwan unafurahia udhaifu na uovu wako!!!
 
Eti wakuu,inawezekana kweli mtu awe hajaomba mkopo wa helsb,afu majina ya waliopata yakitoka na lake linatoka kuwa amepata mkopo while hakuomba?

huyu jamaa inavoonekana yeye na rushwa damu damu! Haiji akili hukuomba mkopo upate kama sio RUSHWA 2kueleweje? Thread zngne mnajidharirisha
 
Labda iwe kwa uwezo wa roho mtakatifu,hyo mambo now dayz hakunaga
 
Huko ni wizi mtupu na iko siku yatajafumuka hiyo Issue mpe Mwenyekiti wa NCCR ataiwakilisha vyema Bungeni km ule uchapishaji wa vitabu feki Wazara ya Elimu
 
Eti wakuu,inawezekana kweli mtu awe hajaomba mkopo wa helsb,afu majina ya waliopata yakitoka na lake linatoka kuwa amepata mkopo while hakuomba?

Mambo ya kutumia kijiti haya!! Pole sana wenzako wanakitumia wanaenda shamba lakini wewe unakimbilia bonye tia!! Ila inawezekana kwa serikari ya CCM
 
Eti wakuu,inawezekana kweli mtu awe hajaomba mkopo wa helsb,afu majina ya waliopata yakitoka na lake linatoka kuwa amepata mkopo while hakuomba?

are you older than your father...?????..kama jibu ni ndiyo basi inawezekana kupata mkopo na kama jibu ni hapana then kupata mkopo haiwezekani..!!!
 
maisha bora kwa kila mtz labda ndo itakua imeanza kazi vinginevyo sumalee
 
Back
Top Bottom