Ivi kuna ubaya gani nikizoea kumuita mama yangu mzazi Mama Joan (jina la mdogo wangu)

kwann umuite mamako mama Joan ? neno mama halitoshi kwan
 
Am very sorry my dear... Nisamee sana, ni mtu alijibu kutumia my phn ..am sorry[emoji17] [emoji17] [emoji17]
kwahiyo siku zote tukiwa tunakutongoza huyo mtu mwingine anasoma tu mistari yetu...!!
 
Sio shida, unaweza kumuita hata jina lake kabisa mfano kama anaitwa Janeth, Jane, Juliana, Judith
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…