Ivi kuna ubaya gani nikizoea kumuita mama yangu mzazi Mama Joan (jina la mdogo wangu)

Ivi kuna ubaya gani nikizoea kumuita mama yangu mzazi Mama Joan (jina la mdogo wangu)

Am very sorry my dear... Nisamee sana, ni mtu alijibu kutumia my phn ..am sorry[emoji17] [emoji17] [emoji17]
kwahiyo siku zote tukiwa tunakutongoza huyo mtu mwingine anasoma tu mistari yetu...!!
 
Sio shida, unaweza kumuita hata jina lake kabisa mfano kama anaitwa Janeth, Jane, Juliana, Judith
 
Back
Top Bottom