Namba za simu unataka tuziweke hapa hadharani au tukutumie kwenye PM? Maana wengine namba zetu za simu zimekaa shaghala bhagala, hazina mvuto......! Yaani ni mchanganyiko wa maharage na mchuzi, sio zile za 0718 200555

Mwee mwanakwetu,Majina yenyewe feki,Unafikiri nani ana jeuri ya kutokeza sura kama mtizamo ni huooo?Mbona ni jambo la kufikirika zaidi kuliko utendaji??
sasa kijana kama no imekaa vululu vululu shida ipo wapi? anahitaji mawacliano tu....mambo zako lakini.
sasa kijana kama no imekaa vululu vululu shida ipo wapi? anahitaji mawacliano tu....mambo zako lakini.
Heeeh! Mara hii umegeuka kuwa Babra tena? Au kuna mtu kaiba password yako?
Niko gado Nyamayao, nafurahi kukuona online asubuhi ya leo...umeifanya asubuhi yangu kuwa njema. Hii inaashiria kwamba hata siku yangu itakuwa njema pia! 🙂
sasa umesh2ka nini na wewe laaziz?.....utakuja kwenye harambee leo?
Babra
Babra maisha ndivyo yalivyo
JF Premium Member
Join Date: Thu Jan 2009
Location: Njoro
Posts: 1,820
Thanks: 372
Thanked 341 Times in 239 Posts
Rep Power: 24
Mkakati wako wa kukimbia michango ya harusi hautafanikiwa...............
mie mwenyewe nimekuona humu mwili ukaccmka, na pia nahic cku yangu itakwenda vizuri japo nina hangover.
Kwakeli nimependa sana wazo la kuchangia wahang,lkn kwanini sisi kama wana JF tusikutane leo jioni japo tuanze na mchango wa elfu 5 tu kwa kila mwanachama maana kutoa ni moyo tena ikumbukwe leo ni wao na kesho ni sisi,ni mtazamo wangu tu sijui mna maoni gani wenzangu.
Wazo zuri sana. Ila dadangu kuoganaizi watu hapa si mchezo. Watu wanaogopa kuonyesha sura zao utafikiri mfungwa aliyetoroka jela. Nina uzoefu huo na ugumu wake nimeuona. Ukifanikiwa kupata japo watu kumi, mi ntakuwa wa 11. Cont me in my sisy, niko tayari kuwasaidia watanzania wenzangu.
sasa umesh2ka nini na wewe laaziz?.....utakuja kwenye harambee leo?
Babra
Babra maisha ndivyo yalivyo
JF Premium Member
Join Date: Thu Jan 2009
Location: Njoro
Posts: 1,820
Thanks: 372
Thanked 341 Times in 239 Posts
Rep Power: 24
Mkakati wako wa kukimbia michango ya harusi hautafanikiwa...............
ok basi watu wakikataa nitaenda ME,MYSELF AND I
Kwenye Harambee nitahudhuria maana nina karama ya utoaji! 🙂 Ila tu Pearl atuhahakikishie VENUE and TIME!
Kaizer tafadhali msaidie Pearl ku-organise hii kitu!