Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazo zuri sana. Ila dadangu kuoganaizi watu hapa si mchezo. Watu wanaogopa kuonyesha sura zao utafikiri mfungwa aliyetoroka jela. Nina uzoefu huo na ugumu wake nimeuona. Ukifanikiwa kupata japo watu kumi, mi ntakuwa wa 11. Cont me in my sisy, niko tayari kuwasaidia watanzania wenzangu.
jamani naomba majina ya walio serious kukutana leo na kutoa mchango plz
kweli?yewomiii...lol....halafu unajua haupo serious eeh, juzi nilikuomba acc no yako naona mpaka sasa kimya...kulikoni?
seemni sehem na muda mm ntoka job sa 11 so nafoleni maybe tufanye sa 12 joini wapi sasa?
nadhani watu ni mchakato wa kutafuta ugali ndio unawabana...
ndo wapi hapo?
hiyo sehemu ya kukutania ni api kwa hapa USA???
Duh! Pole sana! Leo jioni tukikutana kwenye harambee ya kuchangia wahanga wa mafuriko, nitakuonyesha kinywaji kisichokuwa na hangover...!!!
Njooni Zero Pub mtanikuta kaunta!
Hapana! WATU NI WAOGA!