Ivi lini tutafika walau hapa

Ivi lini tutafika walau hapa

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
334_roundabout1.jpg
 
Kila siku watu wanapanda ndege na kutembelea huko. Si lazima tufike huko wote teh!
 
tutafikia hapo siku serikali ya CCM itakapoondoka madarakani...!
 
tatizo letu jingine ni kuwa si watunzaji. kama tungekuwa watunzaji na wasafi kama hao kwenye picha barabara kama za samnujoma, a.h. mwinyi, kawawa, morogoro nk zilijengwa kwa kiwango hicho. so simply tulishafika hapo ila si wasafi wala watunzaji
 
Siku Nyerere atakapofufuka, yaani miaka elfu mbili ijayo!
 
Hata arudi nani, mtaishia kuota tu.....suluhisho, acheni kuwapa kura mafisadi zenu.
 
mkuu nakubaliana na wewe japokuwa watu watapinga na na sisi ila huu ndio ukweli wenyewe


Hivi unatumia nini kusema huu ndio ukweli wenyewe!? akili yako? hisia? au imani??
 
Ng'wenetu kiondo ukiangwa nenife ulaya senibuee x 2
Waana wadodo wakwea madeghe
naiya ukiwa ngwenetu kiondo

nimekumbuka mbaaali enzi zile za milima ya kwetu
 
Back
Top Bottom