Ivi madame Ritha alipataga ajali ya nini?

Ivi madame Ritha alipataga ajali ya nini?

Status
Not open for further replies.

Fagason

Senior Member
Joined
Jun 14, 2013
Posts
175
Reaction score
19
Wandugu mama matalent kuna wakati nilikuwa naona picha zake kwenye blog mbalimbali akiwa na magongo na pole nyingi lakini nikawa sijajua kilichomsibu je kuna yoyote anayejua kilichomsibu mamaa talent?with thanxs!
 
Ni ajali ya gari,japokuwa hakuelezea kinaga ubaga ilitpkeaje ila alisema anamshukuru mungu anaendelea vizuri baada ya kunisurika kwenye ajali
 
Aksanteni kwa kutujuza....niliwai kusema ali k ni dume la mbegu ona sasa msichana mbichiii!
 
Wadaku mshaanza mm! Haya yeye madam Ana hisia kama binadamu wote... kama ni kweli ye na A. K. nawapa hongera.... wacha apumzike baada y kazi ngumu y kuwapa vijana maisha!
Big up! u make a nice couple mami!
 
Kwako A. K, na wewe utulie na mdada huyo usije ukamletea ma presha. Tulizana na mami ule maisha. ucjali maneno y watu, if you ar happy, just be there to stay! mnapendeza na nawaona kama Nick Cannon na Mariah Carey wa Bongo!
 
Ajali muulizeni mume wake ALI KIBA ndo msemaji mkuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ajali muulizeni mume wake ALI KIBA ndo msemaji mkuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Heee ali kiba ndo analibandua hili maza.?mtoto ana laana yule jamani
 
Ajali muulizeni mume wake ALI KIBA ndo msemaji mkuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Duh kama kweli Dogo A.K ndo ana kula masoseji ya huyu Mazaritaaa wapi TAMWA, LHRC, TAWLA kufungua Kesi ya Ukatili wa Kijinsia?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom