Madam zero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 221
- 18
Habari wana jf,,,sina uelewa wowote kuhusu hili swala naomba mnisaidie kwa wanao fahamu,,,,nimemaliza diploma ya records management chuo cha tanzania public service college mwaka jana mwezi jne,,nimeamua kuendelea na chuo ngazi ya degree ,,je naweza kuendelea na degree?watanikubali?je kama watakubali nikiapply kwa njia ya TCU na TCU lin wanaanza application zao?watanichagua kuendelea na degree?je ni chuo gan naweza kupangiwa(sichagui popote)na vip kuhusu MKOPO nitapata kweli? GRADE ktk cheti changu n UPPER SECOND CLASS