Ivi naweza kusoma chuo kikuu ngazi ya degree?

Ivi naweza kusoma chuo kikuu ngazi ya degree?

Madam zero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
221
Reaction score
18
Habari wana jf,,,sina uelewa wowote kuhusu hili swala naomba mnisaidie kwa wanao fahamu,,,,nimemaliza diploma ya records management chuo cha tanzania public service college mwaka jana mwezi jne,,nimeamua kuendelea na chuo ngazi ya degree ,,je naweza kuendelea na degree?watanikubali?je kama watakubali nikiapply kwa njia ya TCU na TCU lin wanaanza application zao?watanichagua kuendelea na degree?je ni chuo gan naweza kupangiwa(sichagui popote)na vip kuhusu MKOPO nitapata kweli? GRADE ktk cheti changu n UPPER SECOND CLASS
 
Mkopo sahau ila utachaguliwa. Mlimani nadhani wanakozi kama hiyo pia Tumaini pake Kinondoni wanayo hiyo kozi Tumaini University Makumira - Dar es Salaam College (TUDARCo). Angalia na SUA wanakozi ya informatics inaweza kuwa poa.

Kama niko sahihi inatakiwa kusoma Information sciences and Librarian.

TCU ndo siku hizi inatakiwa utumie, ila inatakiwa uwasiliane na uliposoma ila wapeleke details zako. Kuchaguliwa itatokana na wewe umeomba vyuo gani.

mbona unagangaika wakati kuna open university unasoma bila stress za ku disco
 
Mkopo sahau ila utachaguliwa. Mlimani nadhani wanakozi kama hiyo pia Tumaini pake Kinondoni wanayo hiyo kozi Tumaini University Makumira - Dar es Salaam College (TUDARCo). Angalia na SUA wanakozi ya informatics inaweza kuwa poa.

Kama niko sahihi inatakiwa kusoma Information sciences and Librarian.

TCU ndo siku hizi inatakiwa utumie, ila inatakiwa uwasiliane na uliposoma ila wapeleke details zako. Kuchaguliwa itatokana na wewe umeomba vyuo gani.

asante sana
 
Back
Top Bottom