Ivi ni kweli izi tafiti kuwa kila kwenye wanaume kumi wanne wana upungufu wa nguvu za kiume

Mazoez yanayo.shairiwa ni ya viungo na yasizidi kiasi cha nusu saa kila siku..mazoez yaliyopitiliza kiasi hizuia production ya hormone.aina ya testosterone
Mkuu umesema mazoezi ya viungo na hata hayo mazoezi ya viungo yasizidi nusu saa. Vipi wanamichezo hasa wacheza mpira ambao hufanya mazoezi makali tena kwa muda mrefu? Je unataka kusema hawawezi kabisa kushiriki tendo la ngono? Mbona wamekua wakitajwa kuwa wazinzi sana? Achana na wale wachezaji wanaofanya mazoezi ya kawaida kuna akina Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ambao unaambiwa huanza mazoezi masaa mawili kabla ya wenzao na huendelea na mazoezi masaa mengine kadhaa baada ya wenzao! Vipi performance yao kitandani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…