Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umesema mazoezi ya viungo na hata hayo mazoezi ya viungo yasizidi nusu saa. Vipi wanamichezo hasa wacheza mpira ambao hufanya mazoezi makali tena kwa muda mrefu? Je unataka kusema hawawezi kabisa kushiriki tendo la ngono? Mbona wamekua wakitajwa kuwa wazinzi sana? Achana na wale wachezaji wanaofanya mazoezi ya kawaida kuna akina Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ambao unaambiwa huanza mazoezi masaa mawili kabla ya wenzao na huendelea na mazoezi masaa mengine kadhaa baada ya wenzao! Vipi performance yao kitandani?Mazoez yanayo.shairiwa ni ya viungo na yasizidi kiasi cha nusu saa kila siku..mazoez yaliyopitiliza kiasi hizuia production ya hormone.aina ya testosterone
Sijasema kama napiga punyeto. Au macho yako 3D?Punyeto na lorno ndo chanzo km unafanya hivo vitu at your own risk...shaur yko