C comesucces Senior Member Joined Feb 21, 2017 Posts 160 Reaction score 105 Apr 17, 2017 #1 Watu wengi tunaanzisha thread tofauti tofauti swali langu Leo ivi ni Uzi/thread gani ulipata comment nyingi na IPI ulipata comment chache unaweza kutupa sababu kwanini zilikuwa chache na kwanini nyingine ulipata comment nyingi????????
Watu wengi tunaanzisha thread tofauti tofauti swali langu Leo ivi ni Uzi/thread gani ulipata comment nyingi na IPI ulipata comment chache unaweza kutupa sababu kwanini zilikuwa chache na kwanini nyingine ulipata comment nyingi????????
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 22,527 Reaction score 79,976 Apr 17, 2017 #2 Aseee!kweli hii ni chit chat wallah! Haya after 4hrs mi ndio wa kwanza kureply hii thread yako . . .unafikiri ni kwanini eti?
Aseee!kweli hii ni chit chat wallah! Haya after 4hrs mi ndio wa kwanza kureply hii thread yako . . .unafikiri ni kwanini eti?
A Abdallah M. Nassor JF-Expert Member Joined Mar 20, 2008 Posts 600 Reaction score 620 Apr 17, 2017 #3 Leta hoja na mijadala ya maana sio unaleta uzi kama huu. Sasa ukijua uzi uliochangiwa sana inakusaidia nini??
Leta hoja na mijadala ya maana sio unaleta uzi kama huu. Sasa ukijua uzi uliochangiwa sana inakusaidia nini??
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Apr 17, 2017 #4 Kiufupi tu anzisha uzi iliopangilika