Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
Wakuu,ebu nishaurini kidogo hapa,mimi kikweli ckuapply mkopo kule heslb kutokana na sababu ninazozijua mwenyewe,sasa ishu iko hvi,mshua kanambia atakua ananitumia tsh 150000 kila mwisho wa mwezi kama pesa ya kula na matumizi mengne madogo madogo hapo chuo,naomba mnipe ushauri jaman,ntaweza kweli kusurvive kila mwezi kwa pesa hyo na ukizngatia maisha yenyewe ni ya udsm,maana nackia maisha ya hapo dar sio mchezo?