mbona unasurvive fresh tu. RB 1000x2=2000,usafiri shato 600,maji ya kudownload,chai 500,vocha 500 ;total 3600/- STAREHE 1400/- jumla 5000/-

Wakuu,ebu nishaurini kidogo hapa,mimi kikweli ckuapply mkopo kule heslb kutokana na sababu ninazozijua mwenyewe,sasa ishu iko hvi,mshua kanambia atakua ananitumia tsh 150000 kila mwisho wa mwezi kama pesa ya kula na matumizi mengne madogo madogo hapo chuo,naomba mnipe ushauri jaman,ntaweza kweli kusurvive kila mwezi kwa pesa hyo na ukizngatia maisha yenyewe ni ya udsm,maana nackia maisha ya hapo dar sio mchezo?
haitosi hiyo pesa photocopy zina gharama sana chuo na kuna michango ya hapa na pale labda 250,000.Nafanya masters udsm nimeacha hata kununua nguo unajua wanawake tunavyopenda kuvaa.kwa sababu najilipia najibana sana na nimegundua laki tatu natumia kila mwezi na hapo sometimes sili.
kweli ,yan apo laki unusu..atasanda
No Mlo??mbona unasurvive fresh tu. RB 1000x2=2000,usafiri shato 600,maji ya kudownload,chai 500,vocha 500 ;total 3600/- STAREHE 1400/- jumla 5000/-
No Mlo??
hahhaaa umenifurahisha na hii nafikiri manake atadoda?au nimekosea?