Ritakahama
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 758
- 409
Vipi kuhusu photocopy za siku hiyo,mwanafunzi aliyefiwa kumchangia?Nyie achane jamanipesa nyingi sana iyo kama huna anasa.........kuna supu plain 300 na chapati zako 3 kwa almost 7000........ukinywa supu saa tano asubuhi na izo chapati inatosha kabisa kuitafuta jioni utakapo kula 1000 wali nyama........+ 500 vocha na 500 maji kwa siku utakuwa umekata 3000 tu.....
Nikujibu kama ifuatavyo:
Wakati wengi wa kipato cha chini ambao wengi wao huanzia na laki moja na wanaweza kuyamudu maisha, wakati we huna anayekutegemea ila ni kupiga kitabu tu, kama utafikiria kwamba mchumia juani hulia kivulini unaweza kukubaliana nami kuwa kwa mahitaji muhimu na ya lazima inatosha na kubaki ziada ya kurudufia material.
Mimi wakati mwingine nilipokuwa chuo tulikuwa tuna share baadhi ya mambo, mimi nikirudufu leo, tunashea na rafiki yangu ambaye yeye atarudufu kesho. Kuna ubaya gani wakati ukifiki nikishahitimu nitafanya nitakavyo?
Yakhe, achana na ziada ya viyoyozi, fridge, na vinginevyo vya kuwastarehesha marafiki wakike kwani si wakati wake, asiyekubali urafiki kwa vile tu huna virutubisho hivyo ni mtafutaji.
Mkuu hapo kwenye RB mwenzio atadhani ni music. afu je ni KE au ME,!!?mbona unasurvive fresh tu. RB 1000x2=2000,usafiri shato 600,maji ya kudownload,chai 500,vocha 500 ;total 3600/- STAREHE 1400/- jumla 5000/-
Wakuu,asanten kwa wote mlonipa ushauri wenu,infact me ni mtoto wa kiume ntakomaa 2!
mbona unasurvive fresh tu. RB 1000x2=2000,usafiri shato 600,maji ya kudownload,chai 500,vocha 500 ;total 3600/- STAREHE 1400/- jumla 5000/-
Futa hiyo mtoto..watoto wananyonya saizi!
zen...bold...dats the spirit utatoka tu dogo ali mradi usijilinganishe na wenzio wa matawi.
mmmmmmh napata wacwac na chuo jamani da kama maisha ndo hvyo!!!!!!!!!!!!