Kifaru86 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2017 Posts 1,734 Reaction score 3,822 May 29, 2022 #1 Wakuu ningependa kufahamu mwanamke akipata ujauzito tumbo lake huanza kuonekana baada ya muda gani kubwa Nauliza kwa maana kuna mahala tiyali mtoto wa mtu kabeba ujauzito wangu
Wakuu ningependa kufahamu mwanamke akipata ujauzito tumbo lake huanza kuonekana baada ya muda gani kubwa Nauliza kwa maana kuna mahala tiyali mtoto wa mtu kabeba ujauzito wangu
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 May 29, 2022 #2 Ikifika miezi kuanzia 5 tumbo linaanza kushiba pasipo kula
holy holm JF-Expert Member Joined May 6, 2017 Posts 4,793 Reaction score 9,101 May 29, 2022 #3 Unajuaje kama we ndo muhusika
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 May 29, 2022 #4 Kifaru86 said: Wakuu ningependa kufahamu mwanamke akipata ujauzito tumbo lake huanza kuonekana baada ya muda gani kubwa Nauliza kwa maana kuna mahala tiyali mtoto wa mtu kabeba ujauzito wangu Click to expand... Hutegemea na umbo la mtu, kuna wengine hadi miezi 9 unaweza usigundue... Kama mchuchu wako hana kitambi cha makande, basi kuanzia miezi 3 hapo kifriji kitaanza kuonekana...
Kifaru86 said: Wakuu ningependa kufahamu mwanamke akipata ujauzito tumbo lake huanza kuonekana baada ya muda gani kubwa Nauliza kwa maana kuna mahala tiyali mtoto wa mtu kabeba ujauzito wangu Click to expand... Hutegemea na umbo la mtu, kuna wengine hadi miezi 9 unaweza usigundue... Kama mchuchu wako hana kitambi cha makande, basi kuanzia miezi 3 hapo kifriji kitaanza kuonekana...
Bemendazole JF-Expert Member Joined Nov 14, 2020 Posts 2,649 Reaction score 6,680 May 29, 2022 #5 holy holm said: Unajuaje kama we ndo muhusika Click to expand... Kwa kuunganisha vijojoleo unscientifically πππ
holy holm said: Unajuaje kama we ndo muhusika Click to expand... Kwa kuunganisha vijojoleo unscientifically πππ
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,486 Reaction score 51,156 May 29, 2022 #6 Wengine miezi miwili tumbo limevimba.. wengine mpaka miezi saba ,nane etc
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,057 Reaction score 39,387 May 29, 2022 #7 hiyo mimba ionekane wapi ukitaka kuiona hata baada ya wiki mbili unaiona
holy holm JF-Expert Member Joined May 6, 2017 Posts 4,793 Reaction score 9,101 May 29, 2022 #8 Bemendazole said: Kwa kuunganisha vijojoleo unscientifically πππ Click to expand... je kama yeye ndo mkomaza mimba π
Bemendazole said: Kwa kuunganisha vijojoleo unscientifically πππ Click to expand... je kama yeye ndo mkomaza mimba π
Kibumbula JF-Expert Member Joined Mar 26, 2018 Posts 3,683 Reaction score 3,349 May 29, 2022 #9 Hesabu kwenye hiyo picha.Kuna miezi mitatu ya kwanza,ya pili na ya tatu.