E EL MAGNIFICAL JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 938 Reaction score 125 May 8, 2012 #1 kuna jama alikuwa anamlalamikia dem wake ile mbaya MAMBO YALIKUWA HIVI. Jamaa: kwanini umeniita nije kwenu wakati we haupo ! Dem: jamani dia si uliniambia siku kukiwa hamna mtu nyumbani ndo nikuite sasa nimekosea nini hun !
kuna jama alikuwa anamlalamikia dem wake ile mbaya MAMBO YALIKUWA HIVI. Jamaa: kwanini umeniita nije kwenu wakati we haupo ! Dem: jamani dia si uliniambia siku kukiwa hamna mtu nyumbani ndo nikuite sasa nimekosea nini hun !
J JULIUS MBIAJI Member Joined Dec 13, 2011 Posts 76 Reaction score 11 May 8, 2012 #2 Demu kilaza huyo. Na mwanaume gani uende kwa demu?
ummu kulthum JF-Expert Member Joined Feb 6, 2012 Posts 2,784 Reaction score 1,317 May 8, 2012 #3 ishiii subiri mademu waje