Jana tuliboreka sana pale Mwembe togwa
Wangekuwa na collection ya nyimbo za kimapinduzi kama zile za kwenye filamu ya Sarafina.
Uchaguzi uliopita Malawi walikuwa wanazitumia sana.
Very patriotic songs kama hii zinasaidia kuamsha mori na uzalendo hasa watu wakiwa wanamsubili Dr kama Jana watu walikuwapo pale toka saa tisa nae akafika saa kumi na moja
Nikizisikiaga huwa machozi yanatokaga
SAA YA UKOMBOZI WA MTANZANIA IMEFIKA
njwepo, kuna kile kiapo cha watu wa tarime. Pia kuna sehemu ya nyimbo iliyoimbwa tarime. Hizo zinahitajika sana
mbona munatuchanganya? Mara hakuna kulala mpaka kieleweke!, saa ya ukombozi....!!, masia alietumwa toka mbinguni!!!na sasa naona kwa mbaaaaaaali munataka kuiba kauli ya haki sawa kwa wote ya CUF pale juu kwenye red ulipoandika haki sawa na uhuru!!!
mbona hamna msimamo? Kauli mbiu yenu ni ipi? Lakini sishangai hii ndio tabia ya chadema kuibia sera za wengine kama hii ya elimu na matibabu bure chanzo chake ni CUF!!!
Njwepo, kuna kile kiapo cha watu wa tarime. Pia kuna sehemu ya nyimbo iliyoimbwa Tarime. Hizo zinahitajika sana