Elections 2010 Ivi vionjo ni muhimu katika mikutano ya Kampeni

Elections 2010 Ivi vionjo ni muhimu katika mikutano ya Kampeni

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
9,710
Reaction score
2,240
Jana tuliboreka sana pale Mwembe togwa
Wangekuwa na collection ya nyimbo za kimapinduzi kama zile za kwenye filamu ya Sarafina.
Uchaguzi uliopita Malawi walikuwa wanazitumia sana.
Very patriotic songs kama hii zinasaidia kuamsha mori na uzalendo hasa watu wakiwa wanamsubili Dr kama Jana watu walikuwapo pale toka saa tisa nae akafika saa kumi na moja
Nikizisikiaga huwa machozi yanatokaga
SAA YA UKOMBOZI WA MTANZANIA IMEFIKA
 
Freedom is coming tommorrow........freedom is coming tommorrow
 
Umenikuna huo wimbo huwa nauzimikia saaaaaaaana
Freedom is comming by 31st Oct
Upo mmoja unaitwa NUTTY/MADIBA naupenda sana niko nao apa nikitaka upload unakataa sijui voda ndo wananibania
 
Njwepo, kuna kile kiapo cha watu wa tarime. Pia kuna sehemu ya nyimbo iliyoimbwa Tarime. Hizo zinahitajika sana
 
njwepo, kuna kile kiapo cha watu wa tarime. Pia kuna sehemu ya nyimbo iliyoimbwa tarime. Hizo zinahitajika sana

mbona munatuchanganya? Mara hakuna kulala mpaka kieleweke!, saa ya ukombozi....!!, masia alietumwa toka mbinguni!!!na sasa naona kwa mbaaaaaaali munataka kuiba kauli ya haki sawa kwa wote ya CUF pale juu kwenye red ulipoandika haki sawa na uhuru!!!

mbona hamna msimamo? Kauli mbiu yenu ni ipi? Lakini sishangai hii ndio tabia ya chadema kuibia sera za wengine kama hii ya elimu na matibabu bure chanzo chake ni CUF!!!
 
Wewe mbona una kiherehere kama watoto na wake za Kikwete?tujuze wewe na FISADI Kikwete Mkoje?
 
Njwepo, kuna kile kiapo cha watu wa tarime. Pia kuna sehemu ya nyimbo iliyoimbwa Tarime. Hizo zinahitajika sana

Ni kweli kabisa.....na sio nyimbo peke yake......hata clip za video za dakika moja moja kwenye luninga ni MUHIMU sana............ni muhimu vyama vya upinzani kutumia mbinu hii.............

.........Mfano wanaweza kutoa clip ya video ya Mkutano wa Dr. Slaa Mwembe Yanga na vikolombwezo vingine vikawa added kama ule wimbo uliotumika kwenye ile documentary (Part 3 mwishoni) ya TARIME
 
Back
Top Bottom