Ivi wanaume usipo fanya mapenzi muda unajihisi una energy kubwa au spirit yako ipo juu?

Omnilabeltech

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2026
Posts
533
Reaction score
845
UKIKAA MUDA BILA KUFANYA MAPENZI UNAHISI ENERGY/ SPIRIT YAKO IPO JUU?

Kuna wanaume ambao wakikaa muda bila kufanya mapenzi, wanahisi kama energy yao imeongezeka, spirit iko juu, akili iko sharp na hamasa ya kutafuta pesa, kufanya mazoezi na kutimiza malengo inakuwa kubwa.

Unajihisi una nguvu ya kufanya mambo, una confidence na una kiu ya kufanikiwa. Lakini ukifanya mapenzi, wakati mwingine unahisi kama hiyo hali inapungua.

Je, hii ni hali ya kisaikolojia, mabadiliko ya mwili au kuna sababu nyingine inayofanya mwanaume ajihisi hivi?
Au ,kila mwanaume na alivyo wengine wakifanya mapenzi wanahisi spirit zao zipo juu?
 
Zichakate kijana nasema zichakate....
 
Viungo vyako vya mwili uvitendee haki, Penis hujaitendea haki! Akiuliza swali anataka jibu!!
 
UKIKAA MUDA BILA KUFANYA MAPENZI UNAHISI ENERGY/ SPIRIT YAKO IPO JUU?

Kuna wanaume ambao wakikaa muda bila kufanya mapenzi, wanahisi kama energy yao imeongezeka, spirit iko juu, akili iko sharp na hamasa ya kutafuta pesa, kufanya mazoezi na kutimiza malengo inakuwa kubwa.

Unajihisi una nguvu ya kufanya mambo, una confidence na una kiu ya kufanikiwa. Lakini ukifanya mapenzi, wakati mwingine unahisi kama hiyo hali inapungua.

Je, hii ni hali ya kisaikolojia, mabadiliko ya mwili au kuna sababu nyingine inayofanya mwanaume ajihisi hivi?
Au ,kila mwanaume na alivyo wengine wakifanya mapenzi wanahisi spirit zao zipo juu?
In fact,
mwanaume kamili mwenye afya njema anakua sharp, anakua tayari kureact na kuact kimapenzi at any time, regardless ametoka kufanya mapenzi muda mfupi uliopita.

sio lazima eti ukae siku kadhaa ndio upate nguvu na ashiki sana ya kufanya mapenzi. Ikiwa ni hivyo, huenda una changamoto za kiafya au umri tayari umekutupa mkono.

Mwanaume kamili,
hata akiona upaja tu wa mwanamke anafaa kua active na tayari kwa mapambano ya kudhibiti hisia zake kulingana na mazingira. Na mwanaume kamili na madhubuti ni yule anae weza kudhibiti hisia zake za mapenzi kikamilifu, lakini pia anaweza kushiriki mapenzi at any time kikamilifu zaidi 🐒
 
Ngono na mapenzi vinapoteza nguvu kimwili na kiakili......

Mwili usipokwichi muda mrefu Kuna namna mtu unafeel very energetic physically, mentally and spiritually

Bro ana hoja, asikilizwe
Hii ni kweli kabisa, mi nisipofanya huo mchezo mbaya nakua na siku nzuri sana..!!

Mfano sasa hivi nna miaka 4 sijakutana na mtu kila ninachokifanya naona kipo kwenye mstari..!!
 
Back
Top Bottom