Ivi wife material yafaa awee na umbo la aina gani..

Ivi wife material yafaa awee na umbo la aina gani..

billcrammer

Member
Joined
Sep 4, 2021
Posts
13
Reaction score
12
1)Mwenye msabwanda alafu awe medium kiwango
2)mwenye mwili ndogo ana mbsabwanda la kichizii na awe medium
3)mfupi mnono
Wakuu wapi ndo sure bet
 
1)Mwenye msabwanda alafu awe medium kiwango
2)mwenye mwili ndogo ana mbsabwanda la kichizii na awe medium
3)mfupi mnono
Wakuu wapi ndo sure bet
Wife material afaa awe na umbo linalokuvutia wewe mwenyewe.

Hata kama wengine wanamuona mbaya lakini maadamu wewe anakuridhisha basi huyo ni wife material.

Kwa sababu wewe ndio unakaa nae 24hrs sio watu wengine.
 
Back
Top Bottom