Ivi wife material yafaa awee na umbo la aina gani..

Ivi wife material yafaa awee na umbo la aina gani..

Kama penseli, chini anachora juu anafuta
 
Mkuu Unachotakiwa utambue ukubwa wa msambwanda ni inverse proportional na akili za mwanamke kichwani
 
Mwenye umbo la ubinadamu tu anatosha. Kwani shimo/mashimo si ni yaleyale? Na Swali lako majibu unayo kichwani kwako kutokana na vigezo vyako.
 
Wife material afaa awe na umbo linalokuvutia wewe mwenyewe.

Hata kama wengine wanamuona mbaya lakini maadamu wewe anakuridhisha basi huyo ni wife material.

Kwa sababu wewe ndio unakaa nae 24hrs sio watu wengine.
Kweli kabisa Mkuu
 
1)Mwenye msabwanda alafu awe medium kiwango
2)mwenye mwili ndogo ana mbsabwanda la kichizii na awe medium
3)mfupi mnono
Wakuu wapi ndo sure bet
Material tana umbo?

wofe material lazima liwe polygon
 
Wife material afaa awe na umbo linalokuvutia wewe mwenyewe.

Hata kama wengine wanamuona mbaya lakini maadamu wewe anakuridhisha basi huyo ni wife material.

Kwa sababu wewe ndio unakaa nae 24hrs sio watu wengine.
Hapana mkuu

akishavutia wanaume huwa tunatafuta sababu ya kumshusha confidence

utasikia anaringa, Malaya, jana mpango nk

avute polygon tu
 
Back
Top Bottom