dubu JF-Expert Member Joined Oct 18, 2011 Posts 3,502 Reaction score 3,483 Mar 11, 2012 #21 Muuza Sura said: Hakui kimziki kabaki palepale miaka nenda miaka rudi!!! Click to expand... kweli mkuu, kimziki kaganda. ukiacha wimbo wa moto wa tipa nyimbo zake zingine nilizoziskia haendani na beat na pumzi hana.
Muuza Sura said: Hakui kimziki kabaki palepale miaka nenda miaka rudi!!! Click to expand... kweli mkuu, kimziki kaganda. ukiacha wimbo wa moto wa tipa nyimbo zake zingine nilizoziskia haendani na beat na pumzi hana.
Kokwa kavu JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 220 Reaction score 41 Mar 11, 2012 Thread starter #22 Hapa hamna chuk 2namsaidia 2 ili asichelewe kujua kipaj chake kngen mapema mzik c kipaj chake afu pia ungeweza kucomment bila hayo maneno ya mwsho
Hapa hamna chuk 2namsaidia 2 ili asichelewe kujua kipaj chake kngen mapema mzik c kipaj chake afu pia ungeweza kucomment bila hayo maneno ya mwsho
SoNotorious JF-Expert Member Joined Sep 11, 2011 Posts 2,422 Reaction score 859 Mar 11, 2012 #23 bangi inamuelekeza kuwa anaweza kiukweli anapoteza muda wake muhimu ambao angeutumia kufifikiri na kufanya jambo analoliweza kwa manufaa yake na jamii
bangi inamuelekeza kuwa anaweza kiukweli anapoteza muda wake muhimu ambao angeutumia kufifikiri na kufanya jambo analoliweza kwa manufaa yake na jamii
Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,125 Reaction score 7,373 Mar 11, 2012 #24 Huyu jamaa toka mwanzo kipindi ile anaimba na akina mb dog na noora alikua anakera mbaya.hajui ila ni kulazima,sijui nani anampa ela ya studio na vichupa..kila wimbo wake lazima atunishe misuli hovyooo sana jamaa!
Huyu jamaa toka mwanzo kipindi ile anaimba na akina mb dog na noora alikua anakera mbaya.hajui ila ni kulazima,sijui nani anampa ela ya studio na vichupa..kila wimbo wake lazima atunishe misuli hovyooo sana jamaa!
Kokwa kavu JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 220 Reaction score 41 Mar 11, 2012 Thread starter #25 Deejay nasmile said: mgoma yake ipo hapa TABASAMU: "SWAHILI HIP HOP NDIO ALBUM YANGU MPYA MWAKA HUU"-ZOLLA D Click to expand... Poa ngoja nichek mkuu
Deejay nasmile said: mgoma yake ipo hapa TABASAMU: "SWAHILI HIP HOP NDIO ALBUM YANGU MPYA MWAKA HUU"-ZOLLA D Click to expand... Poa ngoja nichek mkuu