Ivi zola D naye msanii?

Ivi zola D naye msanii?

Hakui kimziki kabaki palepale miaka nenda miaka rudi!!!

kweli mkuu, kimziki kaganda. ukiacha wimbo wa moto wa tipa nyimbo zake zingine nilizoziskia haendani na beat na pumzi hana.
 
Hapa hamna chuk 2namsaidia 2 ili asichelewe kujua kipaj chake kngen mapema mzik c kipaj chake afu pia ungeweza kucomment bila hayo maneno ya mwsho
 
bangi inamuelekeza kuwa anaweza kiukweli anapoteza muda wake muhimu ambao angeutumia kufifikiri na kufanya jambo analoliweza kwa manufaa yake na jamii
 
Huyu jamaa toka mwanzo kipindi ile anaimba na akina mb dog na noora alikua anakera mbaya.hajui ila ni kulazima,sijui nani anampa ela ya studio na vichupa..kila wimbo wake lazima atunishe misuli hovyooo sana jamaa!
 
Back
Top Bottom