Ivo mapunda awachana simba fc

Ivo mapunda awachana simba fc

Nas Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
5,286
Reaction score
5,421
Kupitia blog ya salehe ally nimeona taarifa ya ivo kuwapa makavu live simba kuanzia uongozi hadi mashabiki huku akimsifia manji,hali hiyo imetokea baada ya manyika kufiwa na babu yake ambapo hakuna hata kiongozi wala mwanachama aliejitokeza kwenye msiba tofauti na manji ambae kwenye msiba wa dida alikwenda hadi kwenye ibada kanisani,ivo ameumizwa sana na kitendo hicho kilichojirudia kwani hata yeye alipofiwa hakuna kiongozi yeyote wa simba aliehudhuria,ivo amempongeza manji na wanayanga wote kwa kuoneshana upendo wa hali ya juu kwenye matatizo.

my take:simba acheni roho mbaya,msimpende kwa kua anasaidia timu tu na kumtelekeza kwenye matatizo.
 
Ndo mhame muache kushabikia kikundii cha watuu mshabikie team za mpira[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwambie aache kutafuta kiki uyo mapunda kupitia simba mbona manyika mwenyewe halalamiki anasema yeye..
 
Mimi binafsi na mshabiki wa Simba, na msiba huo ndo napata habari zake hapa
 
Niliumia sana walipomchoropoa ivo kenya aliwa kama lulu na kuja kumuacha kwny mataa.
 
Mbona Kaburu alienda msiba wa dida ashindweje kwenda kwa mchezaji wake
 
Kupitia blog ya salehe ally nimeona taarifa ya ivo kuwapa makavu live simba kuanzia uongozi hadi mashabiki huku akimsifia manji,hali hiyo imetokea baada ya manyika kufiwa na babu yake ambapo hakuna hata kiongozi wala mwanachama aliejitokeza kwenye msiba tofauti na manji ambae kwenye msiba wa dida alikwenda hadi kwenye ibada kanisani,ivo ameumizwa sana na kitendo hicho kilichojirudia kwani hata yeye alipofiwa hakuna kiongozi yeyote wa simba aliehudhuria,ivo amempongeza manji na wanayanga wote kwa kuoneshana upendo wa hali ya juu kwenye matatizo.

my take:simba acheni roho mbaya,msimpende kwa kua anasaidia timu tu na kumtelekeza kwenye matatizo.

Kumbuka marehemu Mafisango walimpiga hadi rambirambi
 
Back
Top Bottom