Ivo Mapunda ni Golikipa wa penati?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kwenu wana simba.... Swali langu hilo
 
Simba1;azam 1
 
Ndiompwaa Azam tv
 
Hapana ni kipa wa timu kubwa ya Simba, vidume wa Yanga na soka la Tz bara na Visiwani.
 
Obsession ya kuifatilia Simba kutoka kwa wapenzi wa migongo wazi inashangaza na kutia huruma. Ni kama tabia ya mke aliyeolewa ukewenza kufuatilia kila anachofanya mume wake ili asipunjike.
 
ndo maana pdiddy hata lugha huwa inamsumbua coz naye ni mayanga. we huwez kuwa yanga halaf ukawa na uelewa wa kawaida.lazima utakuwa na tatizo.upo yanga unaulizia hbr za simba? jaman yanga mbona mna mahaba niue kwa simba/unafatailia sasa itakuwa ina mdate nani? msijal kwenu tutarud tu. ila leo pdiddy umejitahid kuandika kiswahili na punctuation.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…