Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenu wana simba.... Swali langu hilo
Kwenu wana simba.... Swali langu hilo
Simba1;azam 1
ndo maana pdiddy hata lugha huwa inamsumbua coz naye ni mayanga. we huwez kuwa yanga halaf ukawa na uelewa wa kawaida.lazima utakuwa na tatizo.upo yanga unaulizia hbr za simba? jaman yanga mbona mna mahaba niue kwa simba/unafatailia sasa itakuwa ina mdate nani? msijal kwenu tutarud tu. ila leo pdiddy umejitahid kuandika kiswahili na punctuation.[/QUOTE mowa ahsante ni azam hao wamenifanyakuandika kwenyeuborawangu