Ivona Kamuntu kuiga sauti ya Ansoi wa BBC

unanitaka

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2014
Posts
2,178
Reaction score
1,045
Nimekuwa nikifuatilia utangazaji wa Ivona Kamuntu toka akiwa Star TV, alikuwa akinikosha, ila sasa kaanza kuharibu sijui kwa kuzidiwa na sifa au ulimbukeni.

Ni kwamba dada huyu sasa anaiga sauti ya mtangazaji wa BBC swahili kutoka Kenya bi Ansoi. Hata uulizaji wa maswali amekuwa akiuliza kama Ansoi. Ivona jiamini bana, kuwa wewe, unatuboa sana na hilo lisauti lako jipya.
 
Unaambiwa Azam wamepandisha bei ya virushi kwasababu ya Ivoni kamuntu na Fatuma Nyangasa..
 
Mmmh huyu mdada mbona mnamuandama kulikoni?
majuzi kuna mdau alileta mada akisema anaiga sauti ya salim kikeke, leo anaiga ya huyu mkenya
 

Mimi mbona hii ya sasa naipenda na mpaka yeye
 
Hivi ndio naniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii??????????????
 
SINA IMANI NA UKAWA[/QUOTE]

Bora udedi...
 


Kwa kweli kama huwa anaingia humu au kuna jamaa zake wanaingia humu wamwambie, uigaji wake unaboa sana...

Haukna kitu kizuri kwenye kada fulani mtu akawa yeye. Ivona Kamuntu havutii kumsikiliza kama alivyokuwa Star Tv...

Tafakari...
 
Wabongo bhana kwani unachosikiliza ni sauti yake au taarifa ya habari? halafu ni video unaona picha je ingekuwa ni kwenye radio ingekuaje?
 

Nampenda sana ivona ni miongoni mwa watangazaji bora sana hapa Tanzania Dada usikonde wewe ni kiboko piga kazi Dada usikatishwe tamaaa na mtu yeyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…