Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nampenda sana ivona ni miongoni mwa watangazaji bora sana hapa Tanzania Dada usikonde wewe ni kiboko piga kazi Dada usikatishwe tamaaa na mtu yeyote
Wabongo bhana kwani unachosikiliza ni sauti yake au taarifa ya habari? halafu ni video unaona picha je ingekuwa ni kwenye radio ingekuaje?
Ha ha ha Salim kikekeMmmh huyu mdada mbona mnamuandama kulikoni?
majuzi kuna mdau alileta mada akisema anaiga sauti ya salim kikeke, leo anaiga ya huyu mkenya
Kwani umejipangajepangaje!! Naona unajikanganya,