Ivona Kamuntu kuiga sauti ya Ansoi wa BBC

Ivona Kamuntu kuiga sauti ya Ansoi wa BBC

Wabongo bhana kwani unachosikiliza ni sauti yake au taarifa ya habari? halafu ni video unaona picha je ingekuwa ni kwenye radio ingekuaje?

Kwani umejipangajepangaje!! Naona unajikanganya,
 
Nampenda sana ivona ni miongoni mwa watangazaji bora sana hapa Tanzania Dada usikonde wewe ni kiboko piga kazi Dada usikatishwe tamaaa na mtu yeyote

Hovyoooooo tunajua ni mchapa kazi ila tunAmshauri awe unique Kama alivyokuwa star, asimwige ansoi.
 
Wabongo bhana kwani unachosikiliza ni sauti yake au taarifa ya habari? halafu ni video unaona picha je ingekuwa ni kwenye radio ingekuaje?

Nashukuru kwen video namtambua anayeongea kuwa ni ivona kwa kuwa namuona ila ingekuwa radio mzee! Ningejua ni ansoi wa bbc, kahamia azam. Apunguze makeke
 
Awe mbunifu sio kuiga iga na ule mdomo wake anavo ubenjuaga simpatii picha. Anajiharibia tu huyo
 
Haya tunaita majungu.sioni kasoro ya mwanadada ni mchangamfu vya kutosha mshapu hana kasoro yeyote katika utangazaji wake. Dada piga kazi huwezi ridhisha kila mtanzania wengine ndo walivyozaliwa kwao majungu ni mtaji.
 
VIPI MMEJIANDIKISHA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.

nenda kajiandikishe kwa wale wa dar kura yako inaleta mabadiliko
 
Kuinga yalyo mema ni bora zaidi kwani kila mtu hutamani kuwa kama fulani, labda we unalako jambo
 
Back
Top Bottom