Mjomba Itufae
Senior Member
- Dec 6, 2016
- 182
- 208
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lolHamishia tv chooni, akianza tu we shika sabuni
Japo ni mke wa mtu kiliwacho ni cha mtu, chuma huliwana kutu bila kujitete.Mke wa mtu huyu..sumu
Dah..! Mkuu ulichokiandika ndo ulichokidhamiria??Ana kichwa kama nazi ukumuona live na hiyo sura asipopiga make up ndo utaamini usikiamini kila unachokiona
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hamishia tv chooni, akianza tu we shika sabuni
Hivi Azam TV ipo pale TOT au Tazara pale PBZ! mi mpaka leo huwa sielewi.Shukia hapa kituo kinaitwa TOT mandela road. Utatukuta tupo nae ofisini
Wapo TOT pale baada ya MwananchiHivi Azam TV ipo pale TOT au Tazara pale PBZ! mi mpaka leo huwa sielewi.
Kwa hiyo mwanamme wa dar na mwanamke wa dar wataftane?Mkuu,mfate tu ofisini kwao,wote si mpo dar ?
RAYMOND NYAMUHULAHii tabia ya kung'ata lips kisha unaishia kwa kasi hadi inatoa sauti mimi najisikia mfadhaiko sana. Kila ukisoma habari hapo luningani Azam two mimi husubiria tukio hilo unalolipendaga mara kwa mara na zile kucha ndefu zenye rangi mimi hoi hasa ukiwa unabishana na Charles Hiraly mimi hoi.
Umenisoma
Okay pale napajua. Ina maana pale Tazara ni kwa ajili ya ving'amuzi bila shaka!Wapo TOT pale baada ya nwananchi
Ndio mkuu,,watu wa dar wanajuanaga wao kwa waoKwa hiyo mwanamme wa dar na mwanamke wa dar wataftane?