Ivona Kamuntu wa Azam, Mungu anakuona ujue

Ivona Kamuntu wa Azam, Mungu anakuona ujue

Mwanaume wa dar hao ndio walivyo...nenda ofisini ww acha uzezeta
 
Huyu ni shemeji yetu bwana kwa Ray Nyam..
Mke wa mtu ni sumu. By the way tafuteni replica!
 
Hii tabia ya kung'ata lips kisha unaishia kwa kasi hadi inatoa sauti mimi najisikia mfadhaiko sana. Kila ukisoma habari hapo luningani Azam two mimi husubiria tukio hilo unalolipendaga mara kwa mara na zile kucha ndefu zenye rangi mimi hoi hasa ukiwa unabishana na Charles Hiraly mimi hoi.

Umenisoma

RAYMOND NYAMUHULA
Njoo uckie huku
 
Wife anajua navyompenda Kamuntu akiwa anasoma habari na gwiji Charles Hillary Nkwanga.
 
Niliwahi kumtamani sana huyu dada.

Nilikuwa namtamani sana kimapenzi.
 
mcheck Twitter + Insta we Mu DM TU.
 
Back
Top Bottom