Ivona Kamuntu wa Azam, Mungu anakuona ujue

Ivona Kamuntu wa Azam, Mungu anakuona ujue

Hata mimi hua ananikonga moyo wangu sana tu,hasa mapouz yake,halafu kama raia wa pk vile
 
Kipindi yuko star tv nilikuwaga sikosi taarifa ya habari na tuongee a subuhi kisa yeye
 
Ila bora umefunguka mi mwenywe nahisigi anamtesaga Charles Hilary mno
 
Yaan mi ananiua pale anapotanhaza. Kuna muda yan kama hana uhakika na anachokifanya vile, kama ananichora vile, yan kama anataka kucheka vile. Ananimaliza sana dah
 
Back
Top Bottom