Huyu dada huwa anatangaza taarifa ya habari ya saa 2 usiku. Ila ana maringo huyoooo!!!!

Mimi nampenda sana, ngoja nakuja.
Huyu dada huwa anatangaza taarifa ya habari ya saa 2 usiku. Ila ana maringo huyoooo!!!!
Jamani mke wa mtu huyo acheni utoto wakuu