Ivona Kamutu wa Star tv

Ivona Kamutu wa Star tv

Nadhani ndiye mtangazaji anayetangaza vizuri kuliko wote kwa upande wa watangazaji wa kike Tanzania. Kama kungekuwa na tuzo za watangazaji mahiri tanzania kwenye category ya mtangazaji bora mwanamke wa mwaka angechukua zaidi ya mara moja. Hakuna kama yeye tz kwa sasa, wengine watasubiri sana, mleta mada kama mmekwazana sehemu hiyo ni ishu binafsi wala haimpunguzii credibility. Pole sana.

Kama LIKE zingekuwa na thamani tofauti, basi wewe ningekjupa LIKE ya Thamani ya juu kabisa. Pokea kisaikolojia.
 
Yesu alisema ikiwa wameutendea hivi mti mkavu je itakuwaje kwa mti mbichi?asa ikwa kila ktu hapa duniani kwenye macho yako ni kibaya sasa unapendelea nn?
Ivona upo bomba aluta continuer!!!
 
Ukisoma post nyingi za watu hapo juu naona wanamsifia uzuri wake na si utangazaji wake, kama tutashindanisha Mtangazaji bora wa kike huyu Kamuntu bado sana.

Sasa wewe naona unabadilisha maana, post nyingi zipi? Hebu zitaje basi, wanasifia kila kitu, uzuri wa sura, umbo, rangi na hadi utangazaji. Labda nitakubaliana na wewe tu kuwa watu tunatofautiana inawezekana wewe hakuvutii kwa lolote lile ila walau hao wengine wanavutiwa kwa uzuri wake. Hata mleta mada heading yake tu imetaja jina haielezei umahiri wake wa kutangaza habari zaidi ya majungu binafsi kwamba anaringa. Watu wengine kabisa ndo wameongezea sifa zake stahiki. Je kwako wewe #microX nani ni mtangazaji bora kwa upande wa wanawake tanzania? Mimi kwangu ni huyu.
 
hahahahaaa mkuu umenikumbusha nakumbuka aliongea hvyo makambako alikua anagawa bajaj kwa mlemavu
Inaonekana hata Mhariri aliamua asi-edit kwa kumchoka jamaa, akaamua kuiacha kama ilivyo. Kwa kweli ilikuwa AIBU.

 
Anatangaza vizur nadhan anafaa mbele mbele cnn, skynews,bbc au al jazeera. wengne hawa sioni .ila ana pozi la kuvutia
 
Ni mzuri sana kwnye kuhoji hasa masuala ya kisiasa na uchumi. Umakini wake namfananisha na Salim Kikeke wa BBC.

Mwepesi kujifunza, alikuwa na tatizo la L na R alipokuwa anaanza kutangaza Star Tv. Kwa sasa yuko vizuri saaaaaanaaa.

Naamini ni miongoni mwa watangazaji bora wa kike Tanzania kwa sasa. Sijui kwa nini MCT wamembania tuzo huyu mdada.

Keep it up Ivona, uko juu. Watakubali tu...
 
Mimi huwa naenda hata kwa jirani ili nimtizame
yani huyo dada akiwa anatangaza taarifa ya habari lazima nigombane na watu hapa maskani.Wao wanataka ITV na mie nataka nimkodolee macho huyo Ivona hata wakininyima msosi poa tu!kwa walokole huwa hatusemi nimempenda au namtamani bali tunasema ananibariki sana!
 
Dah hii kitu nishawahi kukutana naye live!Kati ya watangazaji ninaowakubali hapa bongo nayeye yupo.Wengine ni Suzan Mungy na Salama Jabir.
 
Kweli anajitahidi sana, na yy ni bndm hawekukosa mapungufu na hawezi kuwapendeza wote. Mleta mada kaleta sababu binafsi ya maisha ya mtu kua anaringa. Ss atueleze ana chodaia anaringa na walikutana wapi mkp akaringiwa?.
 
Hata mie namkubali, ana mvuto wa kusikilizwa..........ila wasiwasi wangu ni jinsi anavyolitaja hilo jna lake kwa madaha, haswa ile Raymond........pale NDOana itakapoanza (Mungu aepushie mbali) na tutakapomsikia ametaja jina bila kuweka ile Raymond, tutaguna....mmmhhhhh.......coz atatupa urahisi wa kugundua yaliyojiri huko atokako.

Wenye ndoa mmenielewa.
 
Hello gyz mm kiukweli Ivona na mkubali Ana ethics za utangazaji pia anajjheshim sana, wala hanamaringo kama wadau wengine wanavyo dai.
 
Back
Top Bottom