Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,837
- 14,198
Nadhani ndiye mtangazaji anayetangaza vizuri kuliko wote kwa upande wa watangazaji wa kike Tanzania. Kama kungekuwa na tuzo za watangazaji mahiri tanzania kwenye category ya mtangazaji bora mwanamke wa mwaka angechukua zaidi ya mara moja. Hakuna kama yeye tz kwa sasa, wengine watasubiri sana, mleta mada kama mmekwazana sehemu hiyo ni ishu binafsi wala haimpunguzii credibility. Pole sana.
Kama LIKE zingekuwa na thamani tofauti, basi wewe ningekjupa LIKE ya Thamani ya juu kabisa. Pokea kisaikolojia.