PreGE2025 Tetesi: Iwapo Bango hili halitaondolewa na Rais aombe msamaha, Wananchi wa Moshi wamekiri kuwa hawatampigia kura za ndiyo Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Samia alishasema mkimpigia kura au msipompigia kura ana uhakika wa kushinda uchaguzi.
Kwa CCM hiyo sio rocket sayansi, atashinda tu na atishiwi nyau kwa hadithi za soko.

Walau ili tumsaidie kumnanga ‘bi-tozo’ aelezee tatizo ni nini.

Alianza kumpa lawama mmbunge. aka-amishia lawama kwa mkuu wa wilaya, baadae akaenda kwa mkurugenzi, sasa hivi ‘bi-tozo’ (ambae mambo yanayofanyika kwenye wilaya hawezi jua).

Shida yake ni nini hasa ili tumsaidie kumnanga mkwe wa raisi (Mchengerwa) mwenye mamlaka ya hayo maeneo.
 
Tatizo la nchi yetu hii hivi sasa ukisema ukweli jambo lolote unaonekana unamchukia rais sasa sijui tutatoaje duku duku zetu
 
Kiongozi embu elezea, hilo soko la Mbuyuni limekukwaza vipi?

Una uchungu wa gharama za soko sio sahihi.

Una uchungu wafanyabiashara wa hawali wamekosa nafasi

Una uchungu na tozo mpya?

Malalamiko yako ni nini hasa? Serikali ikupatie majibu sahihi.

Vinginevyo raisi wa Tanzania achimbiwi mkwara kama unaotaka kuleta humu.

Peleka hoja zako kwa mmbunge ‘Priscus Tarimo’ unataka majibu gani afanyie kazi
Soma hayo mabango mawili utaona soko Moja, thamani tofauti!
Mengine,nitakueleza iwapo upon tayari kuelezwa!
 
Attachments

  • 5995938-0ba961d67b7b28adc96b5ef1c27b5197.jpg
    5995938-0ba961d67b7b28adc96b5ef1c27b5197.jpg
    5.2 KB · Views: 23
  • 5995939-18d8ae1ce1fc37c6e0bcf489b33da983.jpg
    5995939-18d8ae1ce1fc37c6e0bcf489b33da983.jpg
    5.4 KB · Views: 21
Sema TAKUKURU inabidi wachunguze ujenzi wa hili soko na stendi iliyojengwa kwa bilioni 4. Kilichofanyika hakiakisi matumizi ya hayo mabilioni. Nahisi wahuni wanapiga hela za umma na kukimbilia kuweka mabango ya mama na kuita media kisha kusifia kinoma ili kupoteza watu maboya.
 
Soma hayo mabango mawili utaona soko Moja, thamani tofauti!
Mengine,nitakueleza iwapo upon tayari kuelezwa!
Sio mimi tu jukwaa zima lipo tayari kusikiliza upandę wako kuelewa shida ilipo.

Maana mpaka sasa ueleweki, watu kuweka mabango yenye picha ya raisi katika miradi kwa siasa za Tanzania ya leo ni kawaida. Aina maana anahusika na ubadhirifu kisa sura yake imetumika kwenye bango.

Tuna mambo mengi ya kumnanga nayo ‘bi-tozo’ ya kitaifa, lakini sio siasa za miji kisa mradi unapicha yake.

Elezea tatizo ni nini hasa kwenye hilo soko ili tusaidie kunanga, maana mpaka sasa ueleweki unalaumu kila mtu.

Malalamiko ambayo kama Priscus angekuwa nayo, kwa jinsi ambavyo anaijali Moshi mjini sidhani kama angeyakalia kimya.

Haya funguka kiongozi, shida ni nini hasa
 
Katika mtu hopeless Moshi Mjini ni huyo Priscus!!
Tena ndiye anayelea uchafu mzima huko Moshi!
Wananchi wanasubiri kwa hamu bunge livunjwe tarehe 1.7.2025, tumfanyie sherehe ya kuagana naye!
 
Shida ya mada yako ni soko, au Mmbunge mchapa kazi aliyopo?

Sasa raisi Samia anaingia vipi hapa, yaani hela za Davis Mosha zinaweza mtishia raisi wa nchi?

Mbona ueleweki.

Weka kwanza, mbege pembeni uandike mambo ya maana shida ni nini?

Davis Mosha hawezi mtishia raisi wa nchi nyau, kisa Priscus anakubalika Moshi mjini.
 
Pricuus ni Kati ya Wabunge Wasio na Vipau Mbele na Kutafuta Maoni ya Wapiga Kura.

Katika kipindi hiki cha kisiasa, ni muhimu kwa wabunge kuelewa na kufuatilia mahitaji ya wapiga kura wao. Hapa, tunatazama baadhi ya mambo muhimu ambayo wananchi wanahitaji kufahamu kuhusu miradi mbalimbali ya ujenzi na maendeleo katika eneo lao.

1. Gharama za Ujenzi

Wananchi wanahitaji ufafanuzi wa gharama halisi za miradi inayofanywa katika eneo lao. Haya ni baadhi ya miradi ambayo inahitaji uwazi zaidi:

a. Ujenzi wa Soko la Paa Mbili za mabati soko la Mbuyuni

Ujenzi huu umepangwa kufanywa kwa gharama ya bilioni 5.9. Wananchi wanataka kujua ni vigezo gani vilitumika katika kubaini gharama hii na kama ni halali. Je, kuna uwazi katika matumizi ya fedha hizi?

b. Ukarabati wa Uwanja wa Majengo

Ukarabati huu umeweka mzigo wa zaidi ya bilioni 1. Wananchi wanahitaji kujua ni hatua gani zimechukuliwa kuhakikisha kuwa uwanja huu unatumika ipasavyo na ni nani anayefaidika na ukarabati huu.

c. Ujenzi wa Ukuta wa Halmashauri

Gharama ya zaidi ya bilioni 2 imetengwa kwa ajili ya kujenga ukuta wa kuzunguka jengo la halmashauri. Wananchi wanataka kujua umuhimu wa ukuta huu na kama ni kipaumbele katika maendeleo ya eneo hilo.

d. Uwanja wa Ndege Moshi

Uwanja huu umejengwa kwa faida ya nani? Hata hivyo, bado haujakamilika licha ya mabilioni yaliyotumika. Wananchi wana hamu ya kujua ni lini uwanja huu utakapokamilika ili uweze kuwanufaisha.

2. Masuala ya Barabara

e. Barabara ya Nyumbani

Ili kuboresha usafiri, aliweka lami barabara ya kwenda nyumbani kwake, lakini aliacha kupanua barabara ya YMCA hadi KCMC Hospital. Hii inahitaji kufikiriwa upya ili kuhakikisha kwamba barabara zinazofaa zinapatikana kwa wananchi wote.

3. Huduma za Afya

f. Hospitali ya Wilaya

Ni nani aliyemshauri kubuni hospitali ya wilaya wakati kuna hospitali nyingi za serikali na binafsi zinazokabiliwa na changamoto za wingi wa wagonjwa? Wananchi wanahitaji kujua mipango ya kuboresha huduma za afya badala ya kujenga hospitali zisizo na mahitaji ya dharura.

4. Ajira kwa Vijana

g. Ujenzi wa Soko la Manyema

Vijana wanakabiliwa na ukosefu wa ajira, na ujenzi wa soko la manyema uliahidiwa lakini hadi leo, hakuna hatua zilizochukuliwa. Hii ni changamoto kubwa kwa jamii na inahitaji majibu kutoka kwa viongozi.

5. Usafi wa Mji

h. Uchafu katika Mji

Mji umekuwa mchafu katika maeneo mengi, huku, Priscus akishi shanty town bila kuzingatia usafi kwa wakazi wa pasua,Njoro, boma mbuzi, stand kuu ya mabasi. Wananchi wanahitaji mbunge anayeweza kushughulikia masuala haya ya uchafu ili kuboresha mazingira ya maisha yao.

Hitimisho

Katika mazingira ya kisasa, ni muhimu kwa Priscus kama mbunge kuwasikiliza wapiga kura wake,japo hawamtaki Tena, na kuhakikisha kwamba wanatekeleza ahadi zao kwa uwazi na uwajibikaji.

Wananchi wanahitaji kujua gharama halisi za miradi mbalimbali, huduma zinazopatikana, na hatua zinazochukuliwa katika kutatua changamoto zinazowakabili.

Ni jukumu la viongozi kufahamu na kutenda kulingana na mahitaji ya wananchi ili kujenga jamii bora na yenye maendeleo endelevu.
 
Sasa kwanini Davis Mosha anakosa heshima siasa za ubunge chawa wake unaanzisha mada ya kumpiga mkwara raisi wa Jamuhuri wa muungano wa Tanzania, uoni huo ni ukosefu wa adabu.

Wewe ungeanzisha mada ya siasa za Moshi mjini ingekuwa na shida gani, mpaka umtishie nyau raisi wa Tanzania na CCM.

View: https://m.youtube.com/watch?v=gvfWpuvk0MQ&pp=ygUxUHJpc2N1cyBUYXJpbW8gYW9uZ296YSB1cGFuZGFqaSBtaXRpIG1vc2hpIG1qaW5pIA%3D%3D

Vinginevyo, Priscus; Moshi mjini anaijali kabla ya ubunge, toka akiwa diwani.

Ni nani alianzisha campaign ya kupanda miti Moshi mjini, kushafisha mji, kutunza bustani ya mjini; leo ashindwe kutetea maslahi ya wananchi kupata nafasi yako au hizo lawama zako.

Anyway Pri-pri anawapambe wake na mimi sio miongoni mwao. Lengo ni kukuelezea usimtishie nyau raisi wa nchi kwa siasa za jimbo. Hao wanaokutuma kukatwa ni dakika moja tu. Kwanza washaambiwa waache kusumbua wabunge waliopo kabla ya muda wao kuisha.

👋
 
Katika muktadha wa siasa za Tanzania, wananchi wa Moshi wamekuwa na sauti kubwa kuhusu masuala yanayowahusu. Sasa, kupitia bango linaloonekana wazi, wananchi hao wanatoa ujumbe mzito kwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Bango hilo linadai kwamba iwapo hali hii haitabadilika, hawatampigia kura za ndio Rais Samia. Huu ni ujumbe wa moja kwa moja unaotokana na hisia za wananchi kuhusu uongozi wa sasa.

Sababu za Kukosekana kwa Kura

Wakazi wa Moshi wameeleza wazi sababu zao za kutopiga kura kwa Rais. Kwanza, wanakumbushia ahadi zilizotolewa na viongozi wa serikali kuhusu ujenzi wa soko la bilioni 5.9, lakini hadi sasa hakuna soko lenye dhamani hiyo, lililojengwa.

Hii ni hali inayowakatisha tamaa wananchi, kwani soko hilo lilitarajiwa kuboresha uchumi wa eneo hilo na kuwasaidia wafanyabiashara wadogo. Wananchi wanasema kwamba ahadi hizi zimekuwa kama hadithi zisizo na mwisho, na uongozi wa sasa umeshindwa kuleta mabadiliko chanya.

Pili, kuna malalamiko kuhusu matumizi ya picha ya Rais kwenye mabango mbalimbali na jinsi viongozi wa manispaa wanavyoshiriki katika kuiba kodi za wananchi.

Wananchi wanahisi kuwa picha hizo zinatumika kama njia ya kujipatia umaarufu wa kisiasa badala ya kutekeleza majukumu yao ya msingi.

Hii inachangia kukosekana kwa imani kwa Rais na serikali yake, kwani wanahisi kuwa viongozi wanatumia rasilimali za umma kwa manufaa yao binafsi.

Matarajio ya Wananchi

Wananchi wa Moshi wana matarajio makubwa kutoka kwa serikali yao, na wanahitaji kuona hatua zinazochukuliwa ili kuboresha maisha yao. Wakati ambapo nchi inakabiliwa na changamoto nyingi za kiuchumi, wananchi wanahitaji kuona viongozi wakifanya kazi kwa bidii ili kukidhi mahitaji yao.

Soko la bilioni 5.9 lilikuwa ni ahadi kubwa na ya uongo, na sasa limekuwa ni chanzo cha kutofaulu kwa serikali kuonyesha ufanisi katika utekelezaji wa miradi muhimu.

Kuhusiana na matumizi ya picha ya Rais, wananchi wanataka viongozi waelewe kwamba uongozi ni dhamana.

Wanahitaji viongozi ambao watafanya kazi kwa uwazi na kwa uwajibikaji, badala ya kujitafutia umaarufu kwa kutumia picha za viongozi wakuu. Wananchi wanataka kuona viongozi wakiwa tayari kusimama na wananchi wao, kutatua matatizo yao na kuwapa matumaini ya maisha bora.

Hitimisho

Bango linaloonekana Moshi ni alama ya kilio cha wananchi. Wanahitaji kujua kwamba sauti yao inasikilizwa, na kuwa na viongozi ambao watawasikiliza na kutekeleza ahadi zao.

Iwapo Rais Samia atataka kuendelea kuwa na uungwaji mkono wa wananchi wa Moshi, ni lazima ajiandikishe kwa umma na kuomba msamaha kwa sababu ya kushindwa kutekeleza ahadi.

Kila mmoja ana jukumu la kuhakikisha kwamba sauti za wananchi zinawasilishwa kwa viongozi wao.

Ni muhimu kwa viongozi kuelewa kwamba siasa ni huduma kwa wananchi, na wanapaswa kushughulikia mahitaji yao kwa njia sahihi. Hii itasaidia kujenga imani na kuimarisha uhusiano kati ya wananchi na serikali.

Katika hali hii, ni muhimu kwa Rais Samia na viongozi wengine kuchukua hatua zinazohitajika ili kurejesha imani ya wananchi.
Iwapo hatua hizi hazitachukuliwa, basi mapenzi ya wananchi yanaweza kuhamia kwenye chama kingine, na matokeo yake yanaweza kuwa si mazuri kwa serikali.

Wananchi wa Moshi wanataka kuona mabadiliko, na ni jukumu la viongozi kuhakikisha kwamba ahadi zao zinatekelezwa kwa wakati.

Muhimu kunyaua hali za maisha ya watu.
Jee hilo soko jipya ndio litaweza kuboresha maisha ya watu? au ndio maneno tuu.
 
MAMA HANA DENI
 
Kwahiyo wao ni soko tu la bilioni 5.9, wakipata hilo baasi..
Kama taifa tuna safari ndefu sana. [emoji1787]
Kinachokuchekesha ni nn kiasili wale ni wafanyabiashara ulitaka Wadai nn labda kama unavyoona maasai ni wafugaji wengi wa wachaga ni wafanyabiashara nenda ukachekiwe akili na bandama Zina shida sio bure.... Wale sio mafala useme utawadanganya na t-shirt na kofia....
 
SGR iliishia wapi?
Kulikuwa na mbwembwe za Treni zikayeyuka.
 
Wana kilimanjaro kura zote kwa #SSH,
Yapo mambo madogo madogo ambayo yalipaswa kupewa kipaumbele na municipal ya mkoa tu, kilimanjaro (Copenhagen ndogo) ilshaendelea kitambo sana
 
Waambieni Hata wakipiga kura kwingine CCM ndio inaenda kuunda serikali !
 
Back
Top Bottom