Iwapo itampendeza Mwenyezi Mungu, nahitaji Mke

Iwapo itampendeza Mwenyezi Mungu, nahitaji Mke

Mr mdandavuzi

New Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2
Reaction score
1
Mimi ni kijana mwenyewe umri wa miaka 34, muislam, natokea familia ya kawaida sana, elimu yangu ya kawaida sana, ninafanya kazi halali ya kumpendeza Allah.

Nahitaji rafiki mwenye hitaji la kuwa mama wa familia. Sichagui dini, umri kuanzia 20 mpaka 32, awe mkweli mwenye hofu na Mungu. Mengine tutaelekezana

Nawakilisha
 
Back
Top Bottom