Iwe heri kwako Bro Mabeste katika ndoa yako

Mnasema


Mmesema anateswa na mademu, halafu tena mnamwita mgumu. Endeleeni kututania.
Kwani wagumu hawateswi na mapenzi mkuu!? Moyo wa mtu kichaka!
 
Dogo jinga sana
 
Heri kwao... hopefully amegraduate kutoka uvulana kwenda uanaume.
Akawe baba mzuri kwa watoto wake wa kufikia
 
Mtoa mada punguza muwasho... huyo Lisa ana maisha yake na hana shida na mtu....
Mkumbushe tu kijana wako huko akawe mwanaume haswa na pia awalee vizuri hao mabinti wa mwanaume mwenzie
 
hii sio namba C hii ni namba A kabisa mhh hata kama ni kuchagua wife material hii level ya namna hii hapana
πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† kikubwa amani buda, halafu manzi ni wakawaida tu hata sio mbaya jamani, ukitegemea yupo hivyo bila manyamanyama after 2 kids....
 
Mtoa mada punguza muwasho... huyo Lisa ana maisha yake na hana shida na mtu....
Mkumbushe tu kijana wako huko akawe mwanaume haswa na pia awalee vizuri hao mabinti wa mwanaume mwenzie
Au sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…