Ulikuwa ni utabiri [emoji23][emoji23]Aisee bado simba wanawaza ubingwa?? Au ni mashabiki mnajifariji? Ushauri simba ifocus kwenye nusu fainali yake na azam, maana isipokuwa makini haitanyanyua makwapa kwenye kombe lolote msimu huu
Amesema 'mtake mistake Niko paleee'Simba ni bingwa msimu huu mtake msitake nme kaaa paleeee" Try again (2023)
Nakunya mafungu mafungu Ubungo to k/kooInawezekana mkuu
Yaani ikifikia mahala ubingwa wako unahusisha SALA, MAOMBI, MAPAMBIO, DUA etc ya mwenzio afungwe ndo upate ubingwa, UJUWE HUNA LOLOTE...!!"Simba ana point 64 amebakisha mechi 3 atashinda zote na kufikisha point 73 na magoli mengiiiiiii
Yanga ana point 71 amebakisha mechi 3 ata droo 2 na atafungwa1 jumla anafikisha point 73 sawa na Simba ila atazidiwa magoli na Simba
Simba ni bingwa msimu huu mtake msitake nme kaaa paleeee" Try again (2023)
NB: kweli sisi wanasimba ni mbumbumbu tunadanganywa kama watoto[emoji23][emoji23]View attachment 2610687
UTABIRI WA KIMBUSUSU HATARIUlikuwa ni utabiri [emoji23][emoji23]
Sasa si atakufa[emoji23]Kispika anaminyoo inamsumbua sana kaka mudi wewe unamikemikali mingi waombe wakemia wako wamkologee kidogo kispika apate tibika minyoo yake hipo cku atakunya kwa press asipotibiwa mapema chonde kaka mudi nafikiri unanisoma hapa
Afi c anatibiwaSasa si atakufa[emoji23]
Ulikuwa ni utabiri [emoji23][emoji23]