Iwe isiwe Simba mabingwa msimu huu

Iwe isiwe Simba mabingwa msimu huu

"Simba ana point 64 amebakisha mechi 3 atashinda zote na kufikisha point 73 na magoli mengiiiiiii

Yanga ana point 71 amebakisha mechi 3 ata droo 2 na atafungwa1 jumla anafikisha point 73 sawa na Simba ila atazidiwa magoli na Simba

Simba ni bingwa msimu huu mtake msitake nme kaaa paleeee" Try again (2023)

NB: kweli sisi wanasimba ni mbumbumbu tunadanganywa kama watoto[emoji23][emoji23]View attachment 2610687
mbumbumbumbumbumbumbu
 
Kimsingi kwa mara nyingine trna msimu huu simba hatashinda ubingwa wowote ule wa maana! Kuanzia Ngao ya Jamii (alikosa), Ubingwa wa ligi kuu (tayari amekubali matokeo), na hata ule wa ASFC, (nao ataukosa).
 
"Simba ana point 64 amebakisha mechi 3 atashinda zote na kufikisha point 73 na magoli mengiiiiiii

Yanga ana point 71 amebakisha mechi 3 ata droo 2 na atafungwa1 jumla anafikisha point 73 sawa na Simba ila atazidiwa magoli na Simba

Simba ni bingwa msimu huu mtake msitake nme kaaa paleeee" Try again (2023)

NB: kweli sisi wanasimba ni mbumbumbu tunadanganywa kama watoto[emoji23][emoji23]View attachment 2610687
Waarabu wanasema lisanu lhaal afdhwaal min lisaani lmaqaal
Ulimi wa vitendo ni bora kuliko ulimi wa mdomo yaani vitendo ni Bora kuliko maneno
Kula chuma hicho
 
Attachments

  • 255653250535_status_cd1ed24831804a0aa3eb68ac910dabb1.mp4
    1.8 MB
"Simba ana point 64 amebakisha mechi 3 atashinda zote na kufikisha point 73 na magoli mengiiiiiii

Yanga ana point 71 amebakisha mechi 3 ata droo 2 na atafungwa1 jumla anafikisha point 73 sawa na Simba ila atazidiwa magoli na Simba

Simba ni bingwa msimu huu mtake msitake nme kaaa paleeee" Try again (2023)

NB: kweli sisi wanasimba ni mbumbumbu tunadanganywa kama watoto[emoji23][emoji23]View attachment 2610687
Hamjamuelewa kuna kasiri amewatega...Amesema " mtake misitake"
Hivyo katania na simba isipochukua kombe atawaambia hamkumuelewa🤣🤣
 
Back
Top Bottom