dem boy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 6,580
- 15,739
mbumbumbumbumbumbumbu"Simba ana point 64 amebakisha mechi 3 atashinda zote na kufikisha point 73 na magoli mengiiiiiii
Yanga ana point 71 amebakisha mechi 3 ata droo 2 na atafungwa1 jumla anafikisha point 73 sawa na Simba ila atazidiwa magoli na Simba
Simba ni bingwa msimu huu mtake msitake nme kaaa paleeee" Try again (2023)
NB: kweli sisi wanasimba ni mbumbumbu tunadanganywa kama watoto[emoji23][emoji23]View attachment 2610687