Iwe Slaa au Magufuli, Bongo Fleva na Movie watashika adabu

nyota ikishishang'aa haijarishi nani yupo ikulu Bali yeyote lazima akae..wish good to mond..ikulu will always be home to him..?!
 
Ukiitwa na mungu uwe juu utakuwa wengine Wanamaker ni kujiweka siyo kweli ukiandikiwa utafika
 

Ni nani anayemwingiza Rais Ikulu?!
 
Huko insta wamechanganyikiwa tu mara wampost membe mara wafute, watoe pongezi kwa migiro mara kwa magufuli....kama nyumbu vile hawajielewi
mh rais pombe usiruhusu hawa warugaruga waingie kwenye system yako
 
Nawashangaa wanaosema Ikulu ni mahali patakatifu. Patakatifu wangekaa wezi?
 
Kibo10

Kwani wasanii si wanachi wa Tz au? Kwanini wasiingie Ikulu kama wezi, mafisadi, wapiga kelele na wanywa viroba wanaingia?
 
Last edited by a moderator:
mawazo mgando ya wajingakamanyie ndo yanatufanya tuwe maskii kwa miaka mingi ijayo...

Kama ikulu ni ofisi ya Rais kwann wasanii tena wananchi wasiwe na haki ya kumtembelea kiongozi wao waliyemchagua?.. sijui unafikiria kwa kutumia Kota!!!!... kwa hiyo unataka ikulu wawe wanaenda maproffesa tuu sio..... kama AY wa Tanzania alienda white house ikulu ya Rais wa nchi yenye nguvu zaidi Duniani kwanini asiingie kwa Raisi wa nchi yake... shughulisha ubongo
 
Huko insta wamechanganyikiwa tu mara wampost membe mara wafute, watoe pongezi kwa migiro mara kwa magufuli....kama nyumbu vile hawajielewi
mh rais pombe usiruhusu hawa warugaruga waingie kwenye system yako

Haaaaaaa na mie niliona nikasema bidada.. Muda si mrefu akaanza kumfollow muheshimiwa wakati hayuko insta zile account feki....
 
Kipanya katoa katuni sijui naye anaongelea hili hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…