youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
nyota ikishishang'aa haijarishi nani yupo ikulu Bali yeyote lazima akae..wish good to mond..ikulu will always be home to him..?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa watu wa bongo fleva na bongo movie tamati yao ya kujitamba na kuitaja Ikulu ovyo ovyo imewadia rasmi. Rais JK ndio rais pekee aliyeirahisisha ikulu na watu wakaanza kuiona ni sehemu ya kawaida sana. Aliwaingiza Ikulu watu wasiokuwa na hadhi kama Fella, Diamond, JB, Wema n.k.
Sasa muda huo umekwisha, maana akiingia Dr Slaa watabaki kuiona kwenye Tv na Hivyo hivyo akiingia Dr Magufuli wataisoma Ikulu kwenye magazeti.
2016-2020 Ni mwaka mwiba kwa wasanii wote Tanzania.
Kwanza unatakiwa kufahamu kuwa kuamini au kudhani Slaa atagusa vyumba vya ikulu ni zaidi ya kuchanganyikiwa!
Huko insta wamechanganyikiwa tu mara wampost membe mara wafute, watoe pongezi kwa migiro mara kwa magufuli....kama nyumbu vile hawajielewi
mh rais pombe usiruhusu hawa warugaruga waingie kwenye system yako
Nami naenda kufungua ka account nakaita asharose lolHaaaaaaa na mie niliona nikasema bidada.. Muda si mrefu akaanza kumfollow muheshimiwa wakati hayuko insta zile account feki....