Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
Mungu wa mchongo kiasi hiki hapaswi kuabudiwa.
Watu wanakufa kwenye vita, Watu wanakufa kwa njaa, Watu wanakufa kwa magonjwa. Ila huyo Mungu ametulia tu katika kiti chake cha enzi. Kama kweli kuna huyo Mungu basi ni dhahiri ni katili sana.