Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Mbeya kuna Ferry?Hiyo misikiti iko MBEYA???
Sio hilo tuu, lingine serikali huomba mataifa ya nje kujenga misikiti, sijawahi ona ikiomba msaada wa wakristo kujengewa makanisaHii nchi je ni ya Kiislamu? Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti?
Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.
Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala.
Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.
Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini
Basi huna akili? Sasa unashangaa DAR kuwa na misikiti MINGI? Kwa Taarifa yako, DAR ni moja ya mikoa ambayo majority ni WAISLAM na utamaduni wao ni huo wa KIISLAM kwa sehemu kubwa.Mbeya kuna Ferry?
Serikali ikiongozwa na muislamu nchi huwa ya kiislamu tangu enzi za mzee ruksaHii nchi je ni ya Kiislamu? Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti?
Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.
Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala.
Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.
Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini
Hajaongelea misikiti mingi kasema maeneo ya seriklo kama vile masokoni na kwenye vituo vya mabasiBasi huna akili? Sasa unashangaa DAR kuwa na misikiti MINGI? Kwa Taarifa yako, DAR ni moja ya mikoa ambayo majority ni WAISLAM na utamaduni wao ni huo wa KIISLAM kwa sehemu kubwa.
Inashangaza MBEYA kila hatua 3 kuna KANISA na hakuna malalamiko, wakati mwingine mjue kuna kanda ziko DOMINATED na WAISLAM KWA ZAIDI YA 90% hivyo ujenzi wa misikiti ni kawaida.
DAR, TANGA, LINDI, TABORA, MTWARA, MOROGORO, PWANI hayo maeneo MISIKITI ni MINGI kuliko MAKANISA
Hayo makanisa yamejengwa kwenye maeneo ya serikali?Inashangaza MBEYA kila hatua 3 kuna KANISA na hakuna malalamiko
Umefuatilia makanisa baadhi yalipojengwa?Hii nchi je ni ya Kiislamu? Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti?
Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.
Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala.
Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.
Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini
Ni huduma kwa jamii Kama ambavyo tu serikali imekua ikitoa ruzuku kwa taasisi za kanisa zinazosaidia jamii tangu uhuruHajaongelea misikiti mingi kasema maeneo ya seriklo kama vile masokoni na kwenye vituo vya mabasi
Waislamu hawajiwezi hawawezi panga vitu.. Wanachoweza ni lawamaSio hilo tuu, lingine serikali huomba mataifa ya nje kujenga misikiti, sijawahi ona ikiomba msaada wa wakristo kujengewa makanisa
Lini ulifanya sensa ya kujua Dar inawaislamu kuliko wakristu.Basi huna akili? Sasa unashangaa DAR kuwa na misikiti MINGI? Kwa Taarifa yako, DAR ni moja ya mikoa ambayo majority ni WAISLAM na utamaduni wao ni huo wa KIISLAM kwa sehemu kubwa.
Inashangaza MBEYA kila hatua 3 kuna KANISA na hakuna malalamiko, wakati mwingine mjue kuna kanda ziko DOMINATED na WAISLAM KWA ZAIDI YA 90% hivyo ujenzi wa misikiti ni kawaida.
DAR, TANGA, LINDI, TABORA, MTWARA, MOROGORO, PWANI hayo maeneo MISIKITI ni MINGI kuliko MAKANISA
Sheria ya nchi yetu Ardhi ni mali ya Serikali. Kuna ardhi isiyo ya Umma nchi hii?Hajaongelea misikiti mingi kasema maeneo ya seriklo kama vile masokoni na kwenye vituo vya mabasi