Iz al-Din al-Haddad aliyechukua mikoba ya Mohamed Sinwar naye leo Ameangamizwa bila huruma!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
kuna habari zimeenea sana hapa Tel Aviv kuwa Iz al-Din al-Haddad aliye chukua mikoba ya Mohamed Sinwar naye ameangamizwa alipokuwa kwenye maficho yake, Habari hizi zimeenea sana tv na radio zinazungumzia sana shambulio lililoutoa uhai wa Gaidi huyo huko Gaza.

Makumi ya bunker bunkers zilitumika katika shambulio la kumuua kiongozi mpya wa Hamas katika ukanda wa Gaza unaokaliwa na wanajihadi.

Kama IDF watakuwa wamefanikisha shughuli hii iliyotukuka basi naweza sema Hamas wateue mwingine ambaye naye atawahishwa haraka sana kwenda kupokea wale Mabikira 72 walioahidiwa. Long live BIBI!! Long live Israel!!!!!

IMG_3147.jpeg
 
Attachments

  • telegram_video.mp4
    251.6 KB
Haijalishi utakufa kifo Cha aina Gani Bado utakufa Kwa mwislam mwenye Imani yake kufa kwake ni kheri wewe mwingine unabaki kumtambia uhai wakati kwake akhera ni Bora zaidi kuliko vile unavyodhani,jua tu Kwa nguvu ndogo waliyonayo watapambana mpaka mtu wa mwisho
 
Endelea kujidanganya na ahadi hewa!! Daima Gaidi mara zote sehemu yake ni Motoni tu!!!
 
Haijalishi utakufa kifo Cha aina Gani Bado utakufa Kwa mwislam mwenye Imani yake kufa kwake ni kheri wewe mwingine unabaki kumtambia uhai wakati kwake akhera ni Bora zaidi kuliko vile unavyodhani,jua tu Kwa nguvu ndogo waliyonayo watapambana mpaka mtu wa mwisho
Kweli ni kheri maana unaenda kujisanulia mbususu 72 huko akhera. Tena mbususu mpya kabisa
 
Haijalishi utakufa kifo Cha aina Gani Bado utakufa Kwa mwislam mwenye Imani yake kufa kwake ni kheri wewe mwingine unabaki kumtambia uhai wakati kwake akhera ni Bora zaidi kuliko vile unavyodhani,jua tu Kwa nguvu ndogo waliyonayo watapambana mpaka mtu wa mwisho

Sasa mbona msiende nyote mfie pale, mbona hao magaidi wa uislamu wamejificha, mabikira wanaisha kule peponi kwa Mohammad
 
Haijalishi utakufa kifo Cha aina Gani Bado utakufa Kwa mwislam mwenye Imani yake kufa kwake ni kheri wewe mwingine unabaki kumtambia uhai wakati kwake akhera ni Bora zaidi kuliko vile unavyodhani,jua tu Kwa nguvu ndogo waliyonayo watapambana mpaka mtu wa mwisho
Hivi hi vita wanapigania DINI kweli? You guys why are u kidding yourself always?
 
Kwanini wasimteuwe Ayatolla mdhamini mkuu mwenyewe?
Au yeye hataki kuwa na kufa shahid?
 
Back
Top Bottom