Izzo B na Bella bonge moja la ngoma

Mijitu yote inayoponda ni timu ndomo.
Nyie nyumbu sijui mpoje.
Wimbi wa Izzo lkn jitu linaleta udomo na uwcb.
Toa povu la kilofa hilo.... maendeleo yeyote hupimwa wapi umetoka na wapi unaelekea,, hawa wnaojiita hip hop wote sasa wanayumba,.

Wameanza kuwa laini laini na kuimba mipasho mipasho tu. Sasa Izo mapenzi anaanza kuimba leo..

Like seriously..... "watasema mchana na usiku watalala" ... wt...??
 
Huu nao ni wimbo jamani?
Lengo kuu hapa ni kuuza sura kwenye kideo ambacho credits ni kwa Hanscana,kazi nzuri.

Izo baada ya Rizone hakuna anachokifanya,nashauri kama anataka kurudi ktk peak aimbe "Naongea na Janeth"
Tena sasa hivi mambo yapo mengi wala hatopata shida kwenye kuandika.
 
Kashasanda,..... amemuachia Roma.
 
Izzo Biashara kashuka sana kimuziki. Namfahamu izzo toka enzi zile Mbeya na kina PC da master, izzo wa tenzi za mapenzi sio huyu wa sasa anayeimba nursery rhymes.

Huu wimbo na nyingine zote alizotoa lately hamna kitu zaidi ya kuuza sura na huyo demu, me naita nursery rhymes hizi nyimbo zao.
 
We bibi una karoho kabaya [emoji35]
 
Mimi kwenye huo wimbo nimependa verse ya pili tu
 
Upande wangu wimbo sio mzuri aisee, izzo kaniangusha verse ya kwanza kaimba kama Gnako, huu wimbo hauwezi kuleta ushindani kwa nyimbo zilizotoka hivi karibuni.
 
Hope hii Ngoma itawavusha kwenda level ingine hapa bongo



Ipo vizuri kuanzia beat,mashairi na hata video..

All the best
Izzo na Bella
Hadi huruma huyu jamaa tangia.amekuw na huy dem wake anashuka umalekni mwingi nyimbo mbaya hamna kitu sema naomba media wamsapport mana hiyo video kajitahidi
 
Kwenye mavazi na mandhari au location kafanya vema ila kama kuimba kaboa, huyu si yule alieimba naongea na riz wani kabisa, hii kachemka,...
 
Hakuna ubunifu wowote.....

Alafu tatizo ni nini,mbona wssanii uwezo wao unashukuka.
WCB itaendelea sumbua saana.

Huyu sio Izzo ninaemjua...
Yap mistari ya kitoto sana labda kama watu wamependa rangi ya video
 
Asnte maana tukisema sisi team madale tunaonekana haters wa kufa mtu bora na wewe sasa umesema....
 
Hakuna ubunifu wowote.....

Alafu tatizo ni nini,mbona wssanii uwezo wao unashukuka.
WCB itaendelea sumbua saana.

Huyu sio Izzo ninaemjua...
Wakatishaj tamaa waliokubuhu
 
Mhhh una roho mbaya
Sio roho mbaya,,,kwel km verse ya kwanza sio izzo tunaemjua,kdgooo verse ya pili kachana kama izzo mwenyewe BT video iko poa kias lakin yte kwa yte nyimbo ya kawaida na wasanii wengi wapo chin ya kiwango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…