Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Izzo anafaidi mtoto uyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa povu la kilofa hilo.... maendeleo yeyote hupimwa wapi umetoka na wapi unaelekea,, hawa wnaojiita hip hop wote sasa wanayumba,.Mijitu yote inayoponda ni timu ndomo.
Nyie nyumbu sijui mpoje.
Wimbi wa Izzo lkn jitu linaleta udomo na uwcb.
Kashasanda,..... amemuachia Roma.Huu nao ni wimbo jamani?
Lengo kuu hapa ni kuuza sura kwenye kideo ambacho credits ni kwa Hanscana,kazi nzuri.
Izo baada ya Rizone hakuna anachokifanya,nashauri kama anataka kurudi ktk pick aimbe "Naongea na Janeth"
Tena sasa hivi mambo yapo mengi wala hatopata shida kwenye kuandika.
We bibi una karoho kabaya [emoji35]Huu nao ni wimbo jamani?
Lengo kuu hapa ni kuuza sura kwenye kideo ambacho credits ni kwa Hanscana,kazi nzuri.
Izo baada ya Rizone hakuna anachokifanya,nashauri kama anataka kurudi ktk pick aimbe "Naongea na Janeth"
Tena sasa hivi mambo yapo mengi wala hatopata shida kwenye kuandika.
Hope hii Ngoma itawavusha kwenda level ingine hapa bongo
Ipo vizuri kuanzia beat,mashairi na hata video..
All the best
Izzo na Bella
verse ya kwanza kajichanganyaMimi kwenye huo wimbo nimependa verse ya pili tu
Mimi nadhani anajaribu kumuiga AKA wa S.Averse ya kwanza kajichanganya
kataka flow kama Joh Makini na kuimba kama G Nako
Yap mistari ya kitoto sana labda kama watu wamependa rangi ya videoHakuna ubunifu wowote.....
Alafu tatizo ni nini,mbona wssanii uwezo wao unashukuka.
WCB itaendelea sumbua saana.
Huyu sio Izzo ninaemjua...
Asnte maana tukisema sisi team madale tunaonekana haters wa kufa mtu bora na wewe sasa umesema....Huu nao ni wimbo jamani?
Lengo kuu hapa ni kuuza sura kwenye kideo ambacho credits ni kwa Hanscana,kazi nzuri.
Izo baada ya Rizone hakuna anachokifanya,nashauri kama anataka kurudi ktk pick aimbe "Naongea na Janeth"
Tena sasa hivi mambo yapo mengi wala hatopata shida kwenye kuandika.
Wakatishaj tamaa waliokubuhuHakuna ubunifu wowote.....
Alafu tatizo ni nini,mbona wssanii uwezo wao unashukuka.
WCB itaendelea sumbua saana.
Huyu sio Izzo ninaemjua...
Sio roho mbaya,,,kwel km verse ya kwanza sio izzo tunaemjua,kdgooo verse ya pili kachana kama izzo mwenyewe BT video iko poa kias lakin yte kwa yte nyimbo ya kawaida na wasanii wengi wapo chin ya kiwangoMhhh una roho mbaya