J. Edgar Hoover Mkurugenzi wa FBI na siri kubwa

Mzee wetu leo nikupongeze kwa kutoandika simulizi za Waislamu na Uislamu
Uzalendo...
Kwani unakereka kusoma historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika na kuona mchango wa masheikh akina Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Yusuf Badi, Sheikh Suleiman Takadir, Sheikh Rashid Sembe kwa kuwataja wachache?

Majina haya wewe yanakuudhi kuwamo kwenye historia ya TANU?

Unataka niamini majina haya yalifutwa kwenye historia ya uhuru kwa kuwa hamkuyapenda?

Ungekasirika kama Kadinali Rugambwa au Pengo wangekuwa na historia ya kupigania uhuru bega kwa bega na Julius Nyerere?
 
Mzee wangu punguza jazba kwa kariba yako na vyeo vyako hapa jukwaani nikuombe ikikupendeza Sio lazima uwe unajibu coments zote
 
Kuna movie kacheza Leonardo DiCaprio, kuhusu huyu jamaa.
 
Mzee wangu punguza jazba kwa kariba yako na vyeo vyako hapa jukwaani nikuombe ikikupendeza Sio lazima uwe unajibu coments zote
Dudu...
Sijaghadhibika.

Kaniandikia na uungwana ni kujibu.

Ningenyamaza maana yake nimemdharau au nimempuuza.

Hilo jibu la kawaida sana.
 

Halafu pamoja na yote watu walikuwa wanampakata. Inasaidia nini sasa? pengine ndiye aliyewezesha hata kumtoa uhai yule Rais wao aliyekataa nuclear world.

Shekhe Mohammed, baadhi ya mifano unayoleta inaacha mengi ya kuangalia kiasi kwamba inapoteza hata malengo. Juzi kati ulisema Don Corleone na Bonnassera. Kazi ikaishaje huko sasa?
 

Pamoja na yote, alikuwa anashikishwa ukuta. Hilo ni la muhimu mno kwetu sisi waafrika wa Songagwegwe
 

Hakuna mkristu anayepambania mambo yasiyo na tija kama hayo ya kuandikwa majina. yanasaidia nini sasa? Ukiangalia sana tofauti yetu iko hapo. Ili usife na presha kuna mambo inatakiwa yasikutatize. Mojawapo ni hili. As long Mwenyezi Mungu alipenda JK Nyerere awe ndio Rais wa Kwanza, there is no way you gonna change. Kawawa hakuweza na kwa kweli angeamua, angeliweza kabisa...sasa wewe utaweza kweli???
 
Rogo...
Hayo usemayo si maudhui ilioletwa hapa.

Rejea nyuma uone tulipoanzia.
 
Rogo...
Kila mtu amejaaliwa uwezo wake wa utambuzi.

Ikiwa hunielewi wala isikuhangaishe.
 
Rogo...
Kila mtu amejaaliwa uwezo wake wa utambuzi.

Ikiwa hunielewi wala isikuhangaishe.
Nakuelewa sana. Hoover aliweza kuwatisha baadhi ya watu, lakini sio kila mtu. Kwasababu file hatari kwako, sio lazima liwe hatari kwangu. The things about this world are very relative. When something becomes so rigid, in the end, nature has a tendency of punishing it severely.
Trust me...hakuna kitu kama this file that I have will cause the world to stop. Ndio maana hata Hoover, kuna wakati alikuwa analegea kwa mwanaume mwenzake, halafu anapokea kipigo. He was not that strong aisee
 
Ndio wala haitakiwi kusifiwa
 
Alikuwa gay halafu..alikuwa na bwana wake hapo hapo FBI

Waliokuwa wanajua walimbatizw jina moja la kike.

Ingawa alikuwa anaogopwa na Marais hadi Mafia.
Yeah, alikuwa analiwa kiboga. Na ukishamla ukizingua au akikuhisi kuwa unataka kumfichua anakupoteza. Pia watu wengine wote aliohisi kuwa wana hint yoyote kuhusu siri yake hiyo aliwapoteza. Na huu kwangu ni uthibitisho mwingine kuwa kitendo cha ulawiti ni ushetani mkubwa sana.
 
huyu mtu kumuogopa kiasi hicho ina maana hata waliomuweka kwenye hicho kiti walikua hawana nguvu kwake?
 
huyu mtu kumuogopa kiasi hicho ina maana hata waliomuweka kwenye hicho kiti walikua hawana nguvu kwake?

Unamuweka mtu halafu anajiongeza nguvu
Kwa Ku balckmail wengine..
Kila anaekuja hapo anakuwa ameshapata taarifa zake za kum blackmail
 
huyu mtu kumuogopa kiasi hicho ina maana hata waliomuweka kwenye hicho kiti walikua hawana nguvu kwake?
Katiba zao hazijarundika mamlaka kwa mtu mmoja

Unakuta huyo kuwa kwake pale alipigiwa kura na bunge na huwezi kumtoa kwa sababu zako mpaka bunge liridhie

Kwahiyo ukitaka tu kumtoa uwe na sababu na uwezo wa kushawishi bunge

Nimetoa mfano tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…